iqna

IQNA

msikiti wa jamia
Mazungumzo baina ya dini
Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi hivi karibuni umeandaa siku maalumu ya kuwakaribisha wasiokuwa Waislamu, hasa Wakristo nchini humo, ndani ya msikiti huo ili waweze kujifunza kuhusu Uislamu na Waislamu na kuondoa fikra potovu zilizopo.
Habari ID: 3477106    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06